Ufugaji Nguruwe Kibiashara sio rahisi ila unawezekana🙂

Habari
Naitwa Hamis, mwaka huu nimehitimu stashahada afya ya mifugo na uzalishaji, naomba mwenye nafasi ya kuhitaji mtaalamu kwaajili ya mifigo yake anaweza nipatia kazi nikaifanya vyema
Napatikana Bagamoyo, namba yangu 0718129159
 
Safi mkuu, sasa hamis utaangalia nguruwe wangu vzr kweli?
 
Habari
Naitwa Hamis, mwaka huu nimehitimu stashahada afya ya mifugo na uzalishaji, naomba mwenye nafasi ya kuhitaji mtaalamu kwaajili ya mifigo yake anaweza nipatia kazi nikaifanya vyema
Napatikana Bagamoyo, namba yangu 0718129159
Hopefully ntakuwa na issue na wewe sio muda
 
Kunakipind nilitakaga kukutembelea nijifunze hukunipa nafsi bro malaflaye Kama wataalam mnatubania tutajifunza wap?
Ndugu ukifuga wanyama huwezi entertain watu kutembelea shamba kwa minajili ya kujifunza. Bio security measures, kabla hujaanza kufuga lazima ujifunze hayo mambo. Na kabla hujaanza kujifunza kumfuga nguruwe mwenyewe lazima ujifunze risks anazozipata na jinsi ya kuepuka.
 
Habari
Naitwa Hamis, mwaka huu nimehitimu stashahada afya ya mifugo na uzalishaji, naomba mwenye nafasi ya kuhitaji mtaalamu kwaajili ya mifigo yake anaweza nipatia kazi nikaifanya vyema
Napatikana Bagamoyo, namba yangu 0718129159
Unadeal na mifugo gani bwana Hamisi, maana usije itwa na mfugaji kumbe anafuga Shuwaini ukahisi amekudharau.
 
Wazo.lako ni zuri mno.
Nakushauri uanze kidogo kidogo ambapo utahitaji mtaji kidogo na nguvu zako nyingi.
Mtajinutapatikana humo.

Hata benki wakiafiki, bado mizunguko yao ni mingi.

Uwe makini suala la ubia. Lina changamoto.
 
Je kuna mtu amewahi fanikiwa kudhibiti homa ya nguruwe isifike kwenye himaya yake na akafanikiwa? Ili hali kwa mahitaji kinateketea
 
Uchawi Kwenye nguruwe ni Chakula na maji,zingine mbwembwe.
Nina Nguruwe(Wakienyeji) ni mwezi wa Sita now, ila bado sijaridhishwa na ukuaji wao. Huwa nawapa Pumba za mahindi za kutosha. Sijui unaweza kunishauri niongeze nini ili kuboresha ukuaji wao?
 
nenda bank ya kilimo utapata mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…