Ufugaji nyuki

Rafiki Asali

Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
28
Reaction score
8
Rafiki Asali ni wajasiliamali wenye elimu ya Ufugaji Nyuki na bidhaa zake. Kazi wanazo zifanya:
1) Tunauza mazao ya Nyuki kama asali na nta.
2) Tunatoa elimu ya ufugaji Nyuki na mazao ya kupanda kwajili ya ufugaji Nyuki.
3. Tunafanya survey ya shamba na misitu kwajili ya ufugaji Nyuki.
4. Tunapokea oda ya kuchonga Mizinga na tunatoa ushauri wa aina ya Mizinga katika eneo usika.
5. Tunaamisha makundi kwenye nyumba za watu na maeneo hatarishi.
6. Tunazalisha makundi kutoka katika makundi machache na kuongeza makundi kutokana na msimu husika.
Tunapatikana kigamboni maeneo ya mnadani. Wasiliana nasi 0758789956. Tufollow WhatsApp rafiki asali. Karibuni sana
 
Je naweza kufuga Nyuki kwenye shamba la mikorosho?
Note; Kwenye mikorosho huwa tunapulizia dawa ya salfa, Je haidhuru nyuki? ama kupunguza ubora wa Asali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…