Cost ya nin mkuu? Mana cost inategemea huduma gan wahitaji , kuna vifaranga,chakula,ushauri ufugaji samaki,Tushawishi kwa kuweka cost maana mchawi cost
Naomba namba senuKaribu tukuhudumie masuala yote yahusuyo ufugaji samaki ,kuanzia Elimu ya ufugaji samaki, mbegu Bora ya vifaranga wa samaki na chakula Bora cha samaki.karibu shambani kwetu kongowe-kibaha . Pia waweza tufollow kwenye page yetu ya Instagram @ufugaji_samaki_kibiashara.
0767353674Naomba namba senu
Mkuu elezea basi hata kidogo kama wadau walivyokuomba hapo juu,, mfano bwawa moja kulitengeneza na kuanza ufugaji inaweza kucost kiasi gani roughly, kwa maeneo ya hapo unapofanyia weweCost ya nin mkuu? Mana cost inategemea huduma gan wahitaji , kuna vifaranga,chakula,ushauri ufugaji samaki,