Ufugaji sungura na magonjwa yanayowakumba nini cha kufanya?

Ufugaji sungura na magonjwa yanayowakumba nini cha kufanya?

BUSHMEN 88

Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
25
Reaction score
31
Naombeni kujua ni dawa gani naweza kumpa sungura anayepiga chafya na utando mweupe machoni na ni dalili za ugojwa gani.

1663135128533.png
 
Namimi ni mfugaji mkubwa wa sungura ila sijawahi kuona hiyo wape antibiotic yoyote
 
Back
Top Bottom