mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
FollowingUna experience ya ufugaji wa nini?
Pale ukitoka kwa semina ya ufugaji.!🌚😂😂😂 usikute hata kuku hana
Ngombe wa maziwa, na kilimo cha viazi vitamu ,Una experience ya ufugaji wa nini?
Rudi tena field ukapate UZOEFU, achana kabisa na huo UDHOEFU...Kilimo vs ufugaji, hapa nimejifunza jambo, kilimo ni chepesi ila mafanikio yapo mbali, ufugaji ni mgumu sana ila umejaa fedha, kilimo na ufugaji kwa mikoa ya kusini ukivifanya pamoja lazima upate hela, huu ni udhoefu nilioupata field.
😅😅😅😅Imagination
Akili ndogo hizi , huwa hazinisumbuiTupe UDHOEFU mzee.
wengine ndio tumeanza anza.
Pale ukitoka kwa semina ya ufugaji.
Ha ha ha sasa Mimi sio mwalimu wa kiswahiliMwalimu mzima unashindwa kutofautisha neno
UDHOEFU×
UZOEFU√
Ha ha ha so ulichokiona ni Hilo tuRudi tena field ukapate UZOEFU, achana kabisa na huo UDHOEFU...
Hawa ngombe wa kisasa ni kuanzia grade ngap,na vipi ikiwa uko mbali na malishoNafuga ngombe wa maziwa , nalima viazi mviringo,na parachichi
Akili ndogo hizi , huwa hazinisumbui
NjombeUpo kusini ipi hiyo???