Ufugaji wa kisasa ni dili, kwa wale mnaotaka kujua taratibu na kanuni za kufuata A to Z

whatsup

Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
10
Reaction score
5
Nimeishi Ulaya yapata miaka 9 kwa sasa, nimefanya kazi mbalimbali mpaka mashambani kufuga na kulima, mkulima ulaya nika unavyomsikia baresa mengi na matajiri wengine bongo, asikudanganye mtu. Nilipata kuiba taratibu wanazo zitumia kufuga kuku na wanyama wengine kuanzia kujenga banda, kulisha mpaka kuvuna. Ningependa kusaidia wabongo wanaotaka kutoaka kama unakiu na ufugajia a kilimo Linki hii hapa
http://zippedsoft.sondoso.com/index.php?main_page=product_info&cPath=48&products_id=107
 
Nilipoona title yako nikajua umeweka kila kitu ulichokiona. Kama kufika ulaya ni kwa kuzipitia link basi mimi pia nipo London kwani kila siku nazigoogle
 
ulaya ile sio farming bali ni industrial farming mfano kuku anawekwa kwenye cages au kwenye warehouse kwa kutumia smallest space as possible chakula na maji ni automated na sababu ya msongamano huo its not for the faint hearted..., na chakula kipo composed na madawa kabisa ili kuzuia magonjwa..., sababu wanafugwa maelfu kwa maeflu kwa mfugaji mmoja unakuta hata akiuza tenda kwa kuku mmoja anaweza kupata hata isifike tshs. 200/= kwa kuku

Kwa mayai kuku wanafugwa kwenye cages ndogo kile kuku yupo kwenye cage yake kwahio inakuwa rahisi kujua ni kuku gani hatagi ili kumuondoa na kuweka mwingine..., kuku anakuwa kwenye space ndogo sana na mayai akitaga yanadondoka kwa chini kuna conveyor belt au mtu anapita once a day kukusanya mayai yote..

So in short this is totally commercial in big scale, tunaweza kuita factory farming;

Google factory farming kwa habari zaidi na kwa picha na videos
 
mkuu hapo kwny 200/= umeniacha,ina maana kuku mmoja anauza chini ya kiasi hicho cha pesa?
 
Ndio mkuu nilikuwa naangalia documentary moja mwenye hii factory farming alikuwa anasema baada ya kutoa overheads /gharama za uendeshaji zote anabakiwa na na 4p..., huyu jamaa alikuwa ana tender ku-supply ma supermarkets (competition ni kubwa sana kwahio mtu usipotumia hii factory farming unakufa kifo cha kawaida..)

Sasa mkuu hapa ni economies of scale.., unaweza kuona kama kipato cha chini ya tshs 200/= ni kidogo sana lakini just imagine kwa wiki unauza kuku elfu 10,000 hii ni 200/= x 10,000 jumla ni kama 2million weekly profit na sababu kumbuka hii ni full automated na unakuta hao wote kuku wafanyakazi hawazidi hata watano..., ila sasa tatizo ni wellbeing ya hao kuku, ukiwa ni mfugaji nadhani utakuwa unaona huruma kuwaangalia sababu kweli maisha yao ni ya mateso...
 
Sana,nimeona inapigwa sana vita na mashirika ya haki za wanyama.
 
Nimeishi Ulaya yapata miaka 9 kwa sasa, nimefanya kazi mbalimbali mpaka mashambani kufuga na kulima, mkulima ulaya nika unavyomsikia baresa mengi na matajiri wengine bongo, asikudanganye mtu. Nilipata kuiba taratibu wanazo zitumia kufuga kuku na wanyama wengine kuanzia kujenga banda, kulisha mpaka kuvuna. Ningependa kusaidia wabongo wanaotaka kutoaka kama unakiu na ufugajia a kilimo nicheki kwa kutuma message nikupe link!

Sasa mkuu whatsup mbona wasapu wanatoa huduma free lakini wewe pamoja na kutumia jina lao bado unaficha ficha mambo!! Weka link tuone wote mkuu!!
 
Last edited by a moderator:
we zigoogle tu, nasaidia watu wenye nia we endelea kupiga mfagio mtatawali mpaka manyuma kwenu.
 
Nilipoona title yako nikajua umeweka kila kitu ulichokiona. Kama kufika ulaya ni kwa kuzipitia link basi mimi pia nipo London kwani kila siku nazigoogle

we zigoogle tu, nasaidia watu wenye nia we endelea kupiga mfagio mtatawali mpaka vichwa viote upara.. kudadeki!
 
Back
Top Bottom