Fuga kuku wa nyama au mayai lengo likiwa ni kuuza nyama au mayai,mengine fuatilia nyuzi za ufugaji humu utapata mwanga zaidiNaomba mtu anayefuga anisaidie experience, Ni kuku aina gani wazuri, wa nyama au wa mayai? Wa kienyeji ama wa kizungu ama chotara? Naweza kuanza na kuku wangapi? Na chakula wanakula kiasi gani kwa siku? Banda linahitajika ukubwa gani... kwa jumla mtaji nahitaji kiasi gani? Dawa, n.k
Naomba ushauri toka kwa wafugaji tu!View attachment 1082474