Kuna vitu vya msingi kuratibu kabla hujaamua kutanua wigo wa masoko.Baadhi ya vitu hivyo ni;
1. Ume-target masoko gani mfano ndani ya nchi au nje
2. Wateja wako ni akinja nani ? mfano wajasiriamali , mameneja, wazazi au akina mama
3. Wanapatikana wapi mfano kila sehemu Tanzania
4. Nitawafika kwa njia gani ili wajue nachofanya mfano mtandao wa internet hasa facebook na instagram
4. MIKAKATI YA KIMAUZO
Katika kupanga ni lazima uelezee kwa kina masuala haya kimkakati kama
1. Njia za kimkakati kuuza, kusambaza na kufikisha huduma/bidhaa kwa wakati mahala unapotarajia kuuza
2. Bei elekezi na mifumo ya uuzaji. Je utauza moja kwa moja au utatumia ajenti
3. Bidhaa/huduma zako utaziingiza sokoni kwa njia zipi? Promotion? Kutangaza? Nk
Kwa msaada wa michanganuo na huduma za jinsi ya kuuza bidhaa kwa njia ya mtandao,
wasiliana nami,
0713-039875