Ufugaji wa kuku kibiashara-misingi

chamilitary

Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
24
Reaction score
4
MISINGI YA UFUGAJI WA KUKU KIBIASHARA

Misingimuhimu ya ufugaji wa kuku kibiashara yanayokuwezesha kupata mazao mengi na bora zaidiyatakayomnufaisha kimapato na kwa matumizi mengine.
Misingi hii ni pamoja na:
√ Kuchagua njia bora ya kufugana sifa za mabanda bora ya kuku
√ Kuchagua aina bora ya kuku wakufuga, kuzaliana na kutotolesha
√ Utunzaji wa vifaranga
√ Kutengeneza chakula bora chakuku
√ Kudhibiti na kutibu magonjwa
√ Kutunza kumbukumbu
√ Kutafuta masoko

Kwa maelezo zaidi au maoni tafadhali tembelea
UFUGAJI WA KUKU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…