Ufugaji wa kuku kitaalamu

Joined
Apr 19, 2015
Posts
11
Reaction score
0
kama kichwa kinavyojitangaza hapo juu natangaza kuanza mafunzo ya ujasiriamali kwa wale wananaopenda kufuga kuku.
Ni katika group la whatsapp nililoanzisha.
Ni kwa gharama ya sh 5000 tu elimu ambayo huenda ungeipata kwa sh 35000 hadi 50000 ila tunakufanyia kwa bei nafuu sana
Mwenye maoni au anayehitaji kujiunga basi tuwasiliane kwa whatsapp kupitia namba 0657037203
 
We una utaalamu gani mpaka ufundishe kwa kulipwa????

Ungetueleza historia yako, uzoefu wako wa kufuga kuku na yote yanayofanana na hayo.

Hela ngumu, huwezi ipata kwa namna simple kama hiyo.
 
upuuuzi mtupu....
hiyo hiyo elimu tunaitoa bure kwenye groups zetu...
saidieni watu acheni tamaa ya vihela vidogo vidogo,
wanaotaka lipo la bure na professionals wa kutosha....
wafugaj wa kutosha...
 
upuuuzi mtupu....
hiyo hiyo elimu tunaitoa bure kwenye groups zetu...
saidieni watu acheni tamaa ya vihela vidogo vidogo,
wanaotaka lipo la bure na professionals wa kutosha....
wafugaj wa kutosha...

niunge kwenye hilo group la wasup la bure bro 0762190806 maaana 5000 inatosha kabisa kununua kg 25 za chokaaa kwa huku mbeya kwetu
 
mbona ukipitia nyuzi za kuku hapa Jf unapata utaalamu tosha.
anyway biashara njema
 
Nimeiona mkuu.

Siku hizi kila mtu anatafuta walipo vipofu awalize.

Kama anataka aanzishe chuo cha kuku Tanzania

hana utaalam wowote zaidi ya uzoefu tu mwenye shida ya kujua ani pm tu au aulize swali lake nimpe majibu mie ni proffesional wakuu
 
We una utaalamu gani mpaka ufundishe kwa kulipwa????

Ungetueleza historia yako, uzoefu wako wa kufuga kuku na yote yanayofanana na hayo.

Hela ngumu, huwezi ipata kwa namna simple kama hiyo.

well said mkuu. Usikute ana copy na kupest ujuzi ambao umechangiwa humuhumu na wanajamii. Hata hivyo nijuavyo mimi, uhalisia wa ufugaji kuku ni tofauti kabisa ukilinganisha na maandiko mengi yalivyo kwenye vitabu.. Naamini yeyote anayefanya shughuli hii atakubaliana nami. Hivyo basi, ni vizuri mtoa mada akaweka wazi uzoefu wake japo kidogo, isijekuwa naye anatuletea NADHARIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…