Ufugaji wa kuku,ng'ombe na kilimo kwa ujumla.

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
407
Reaction score
178
NDUGU ZANGU KUNA WATU WAPO MAKAZINI NAWANGEPENDA SANA KUJISHUGHULISHA NA SHUGHULI MBALIMBALI ILI KUJIONGEZEA KIPATO LAKINI WANAKOSA MUDA NA WASIMAMIZI. KUNA WATU WANA FEDHA LAKINI WANAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZINAZOWAKWAZA KUTIMIZA MALENGO. MIMI NIPO SONGEA NA NIMEFANYA UTAFITI KIDOGO NA NIMEKUJA NA MAWAZO YAFUATAYO, 1. KUNA UHITAJI MKUBWA SANA WA KUKU NA MAYAI. trey 1(6000-7000), kuku(6000-8000), wakienyeji 12000 nakuendelea beizote ni kwa jumla. 2. Ng'ombe wa maziwa hawakidhi mahitaji ya wanaruvuma. 3. Kilimo(mahindi, alizeti,mpunga,mtama,ufuta, karanga na ulezi NB: WAKENYA HUJA KUNUNUA MAZAO KWA BEI NZURI. Ndugu zangu napenda tujenge ushirika kama kampuni tuunganishe mitaji yetu tutumie hizi fursa vizuri.Tukirubiri mpaka tupate mitaji au mpaka tusitafu haipendezi. Kwa maoni,ushauri,mapendekezo ,majadala na ambaye yupo tayari ani PM au kupitia malimangosha@yahoo.co.uk DHAMIRA NA UAMINIFU NDIO NGUZO. Nawasilisha
 
Mkuu safi sana, kwa maelezo yako nimeyapenda sana, na kikubwa kwa kweli ni kujitolea muhanga kama ninabyo sema KUCHOMA MELI MOTO, na wewe kama umweza kuona hizo furusa ni kuchangamkia mapema ili wenzako siku wanaamuka uwe mbali sana,
 
Mawazo mazuri. Hapo kwenye mayai ni bei ya lini? Ninahitaji kufahamu kwa kuwa kwa sasa bei imekuwa ikiporomoka siku hadi siku
 
hiyo bei ni kadrio la chini na juu. Huku soko sio lakuyumba sana kama mikoa mingine.
 
NDUGU ZANGU KUNA WATU WAPO MAKAZINI NAWANGEPENDA SANA KUJISHUGHULISHA NA SHUGHULI MBALIMBALI ILI KUJIONGEZEA KIPATO LAKINI WANAKOSA MUDA NA WASIMAMIZI. KUNA WATU WANA FEDHA LAKINI WANAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZINAZOWAKWAZA KUTIMIZA MALENGO. MIMI NIPO SONGEA NA NIMEFANYA UTAFITI KIDOGO NA NIMEKUJA NA MAWAZO YAFUATAYO, 1. KUNA UHITAJI MKUBWA SANA WA KUKU NA MAYAI. trey 1(6000-7000), kuku(6000-8000), wakienyeji 12000 nakuendelea beizote ni kwa jumla. 2. Ng'ombe wa maziwa hawakidhi mahitaji ya wanaruvuma. 3. Kilimo(mahindi, alizeti,mpunga,mtama,ufuta, karanga na ulezi NB: WAKENYA HUJA KUNUNUA MAZAO KWA BEI NZURI. Ndugu zangu napenda tujenge ushirika kama kampuni tuunganishe mitaji yetu tutumie hizi fursa vizuri.Tukirubiri mpaka tupate mitaji au mpaka tusitafu haipendezi. Kwa maoni,ushauri,mapendekezo ,majadala na ambaye yupo tayari ani PM au kupitia malimangosha@yahoo.co.uk DHAMIRA NA UAMINIFU NDIO NGUZO. Nawasilisha

Wakubwa jamvini mkuu Chasha ukiwamo, naomba mnipe uzoefu wenu hapo juu kwenye red, huko tutokako taifani kwetu ilishamwagwa sumu kiasi kwamba ukitaja neno kuanzisha ushirika watu hawakuungi mkono! Hali ikoje kwa sasa? Je, kunawatu wanaunganisha mitaji humo mitaani mwenu au maofisini mwenu kiasi kwamba tunaweza kujifunza kitu! Mimi huwa ninafikra hizo kuunganisha nguvu na wenzangu huko tunakochoma mkaa lakini naona kama wengi hawawezi kukubali kitu hii!
 
Back
Top Bottom