UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
1. Je, nchakula aina gani kinapatikana kwa wingi kwenye huo mkoa (mkoani)??wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani.
NIKO MKOANI NA MTAJI WANGU NI LAKI TANO
Fedha yako ni ndogo kupata faida ya kueleweka ya haraka.wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani.
NIKO MKOANI NA MTAJI WANGU NI LAKI TANO
Dar si mkoa kwa mujibu wa wakaazi wa Dar wa maeneo ya Vingunguti,Kigogo,Tandale......1. Je, nchakula aina gani kinapatikana kwa wingi kwenye huo mkoa (mkoani)??
2. Je, hiyo laki tano (500,000) ya mtaji ni pamoja na ujenzi wa banda la kufugia??
3. Je, mkoa uliopo (mkoani) kipi kina soko kati ya kuku (saso) na mdudu??
4. Je, unajiona kabisa kwamba unaweza ukafuga ndani ya wiki 7 zilizo baki, na ukapata faida kwaajili ya ada mwakani pasipo kupitia changamoto yeyote??
5. Hua nashangaa mtu anapo kuja na wazo alafu anasema yupo mkoani, huvi mkoani ndio mkoa upi hapa Tanzania??
Unafugia wapi mdau? Na una breed gani?ungesema uko mkoa gani ingekua rahisi pia kujua mkoa huo kati ya kuku na nguruwe kipi kina soko zaidii...
But ukihitaji kufuga nguruwe nitafute nina experience nao na ninafuga wengi sana na kwa mda mrefu, nitakufundisha kwa vitendo na mifano iliyo hai sio kwa maandishi
Hapo hujamwambia ukweliHao sasso usijaribu mkuu, wwtakuliza
Kwani Nguruwe hawana magonjwa?Fuga nguruwe tu , wanakula chochote , kuku watakuliza mpaka uzimie kwanza kukija wenge la magonjwa wanapukutika wote
Naomba elimu mkuu nahitaji kuingia kwenye kuku, mbuzi na nguruwe. Uzoefu wako tafadhaliungesema uko mkoa gani ingekua rahisi pia kujua mkoa huo kati ya kuku na nguruwe kipi kina soko zaidii...
But ukihitaji kufuga nguruwe nitafute nina experience nao na ninafuga wengi sana na kwa mda mrefu, nitakufundisha kwa vitendo na mifano iliyo hai sio kwa maandishi
Nataka kufuga nguruwe nipe ushauri nduguungesema uko mkoa gani ingekua rahisi pia kujua mkoa huo kati ya kuku na nguruwe kipi kina soko zaidii...
But ukihitaji kufuga nguruwe nitafute nina experience nao na ninafuga wengi sana na kwa mda mrefu, nitakufundisha kwa vitendo na mifano iliyo hai sio kwa maandishi
Hao sasso ni kuku au ni nini mkuu, nipe elimu kidogoHao sasso usijaribu mkuu, wwtakuliza