mfugaji smart app
New Member
- Oct 26, 2024
- 1
- 1
Kuna App ya ufugaji itakusaidia mambo kadhaa.
Itakusaidia katika ufugaji wako.
1. kuandaa fomula za vyakula vya kuku kwa kiasi utakacho na kuku wa umri na aina zote
2. Itakupa uwezo wa kupiga hesabu za makadirio ya ulaji wa kuku wako kwa kipindi fulani mfano unapanga kufuga kuku 200 wa mayai ila unataka kujua watakua kiasi gani hadi waanze kutaga App hii itakwambia kiasi cha jumla kwa kipindi chote pia kila wiki ulishe kiasi gani, kila siku utumie kiasi gani na hata aina za vyakula yaani starter utumie kiasi gani? Grower kiasi gani? Nakadhalika.
3. Itakupa uwezo wa wewe kuweka kumbusho ambapo utatumiwa sms siku chache kabla ya siku ya kutoa chanjo na kuwapa kuku wako madawa kama anticoccidiosis na minyoo kwa mwaka mzima... Pia itakutumia sms kukumbusha mda sahihi kuacha kutumia chakula aina fulani na kuanza kutumia kingine yaani mfano mda sahihi kuacha kutumia starta kuja grower au grower kuja finisher au layers.
4. Pia kupitia App hii unaweza kutafuta mfugaji aliyepo karibu na wewe kwa kuandika eneo ulilopo tu na itakuja list yote ya wafugaji wa karibu yako ili uweze kufanya nao biashara au kubadilishana uzoefu
Pakua app Na Upate huduma Kiganjani, Bure bonyeza
Link Mfugaji Smart - Apps on Google Play