Ufugaji wa kuku wa kienyeji na wa kisasa upi unalipa?

Ufugaji wa kuku wa kienyeji na wa kisasa upi unalipa?

Ngosha Kogema

Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
34
Reaction score
3
Wakuu,
katika harakati za kujikwamua kiuchumi nimeshawishika kuanzisha ufugaji wa kuku. Naomba mawazo yenu juu ya gharama za kuwahudumia kuku wa kienyeji na wale wa kisasa ipoje? Pia hatari ya kupata magonjwa ni kuku wepi wanastahimili? Na kwa wale wanaofuga tayari nitafurahi mkiniPM ili niweze kupata maarifa zaidi kabla zijaamua kuanza kufuga.
Karibuni kwa Ushauri.....
 
Kuna mada zilishajadili chief.

Tafuta kwa Zantsan na Chasha
 
Back
Top Bottom