Ufugaji wa kuku wa kienyeji

Nimechukua wazi mkuu[emoji1374].
Achana na mawazo ya kununua mayai
Utapewa mayai mengi yaliozidisha muda
Hivyo utapata hasara mengi hayataanguliwa

Tatuta kuku wakubwa wanaoanza kutaga totolesha mwenyewe then tunza vifaranga kwa kisasa
 
Achana na mawazo ya kununua mayai
Utapewa mayai mengi yaliozidisha muda
Hivyo utapata hasara mengi hayataanguliwa

Tatuta kuku wakubwa wanaoanza kutaga totolesha mwenyewe then tunza vifaranga kwa kisasa
Mkuu hebu share uzoefu wako kwenye kutunza vifaranga kisasa hapo,maana sisi wafugaji wa kuku wa kienyeji kupitisha vifaranga ni changamoto..
 
Mkuu hebu share uzoefu wako kwenye kutunza vifaranga kisasa hapo,maana sisi wafugaji wa kuku wa kienyeji kupitisha vifaranga ni changamoto..
Na msimu huu wa baridi huku mwanza, kukuza vifaranga ni changamoto sana. Andaa mazingira kwanza kabla ya kuweka vifaranga hakikisha banda linatunza joto la kutosha na wanapata mwanga wa kutosha pia.

Hakikisha unawapatia chakula bora chenye mchanganyiko wa virutibisho vya wanga , protini, madini, vitamin. Hakikisha una utaalamu huo ama ununue chakula ya kukuzia vifaranga.

Hakikisha wanapata maji safi muda wote na uwachanganyie vitamin.

Chanjo ya mew castle, gumboro na ndui ni muhimu sana, hakikisha unawapatia kwa muda sahihi.

Pia zijue kinga za asili huwa zinasaidia sana. Baadhi ni vitunguu Saumu, Alovera, mlonge, majivu na kadhalika. Usafi pia ni muhimu.
 
Majivu yanasaidia nini kwenye kuku
 
Wewe kweli ni mfugaji....asante kwa ushauri mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…