Ufugaji wa Kuku wa kisasa (Layers)

Marek vaccine ni only once tena ni siku ya kwanza wanapotolewa katika Hatchery....

Na ikitokea umechelewa kuwapa hiyo chanjo in day one then waweza wapa hata wakina na siku tatu but isizidi hapo chief....
 
Wakuu Vifaranga vya layers nitapata wapi wadau, nahitaji hii awamu wamezuia toka Kenya shida tupu
 
Best thread ..natamani kuona update zaidi..Hongera sana mkuu kwa uthubutu
 
Huu uzi umeshiba vizur kwa wafungaji kama mimi
 
Kuna kuku wanapinda shingo sijui kisa nin? Alafu kuna kuku wanakufa wakati wa kutaga njia ya kupita yai inakuwa ndogo nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu
muhinda. vipi mbona haukumalizia updates hadi wiki ya 96 kama ulivyoahidi. ingependeza sana kama ungemalizia.
 
Mradi unaendeleaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…