Wenzako walipost full article ya ufugaji hapa JF mi nadhani ungefanya kama wao ili iwe manufaa ya wote
anataka ukamlipe ....kuanzia miezi nane mpaka mwaka mmojanguruwe ukimtunza vizur toka kuzaliwa ni miez mingap anaweza uzwa na vyakula vyake ni vipi kwa mfn
nguruwe ukimtunza vizur toka kuzaliwa ni miez mingap anaweza uzwa na vyakula vyake ni vipi kwa mfn
nashukuru kwa mchango wako maana tunaamin kufamishana nikuelimishana nibora zaid ktk kukabiliana na changamoto ya umaskin
Mbona haitaki kujiunga?Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe
Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....
Click link ifuatayo kujiunga......
Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI
TSA- PIG FARMING