Ufugaji wa kuku wa mayai na nyama

Ufugaji wa kuku wa mayai na nyama

Hosea Ben

Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
69
Reaction score
15
Ndugu zangu,
Naomba mwongozo nataka kuanzisha ufugaji wa kuku wa mayai na nyama.
Naomba kujua mahitaji muhimu na mambo ya kuzingatia katika ufugaji huo.
Asante sana
 
ingiza neno UFUGAJI WA KUKU katika seach box ya JF utapata mada kibao
 
Back
Top Bottom