Ufugaji wa kuku za mayaye wa kibishars (poultry farming) kwa hali ya hewa Dar unawezekana?

Ufugaji wa kuku za mayaye wa kibishars (poultry farming) kwa hali ya hewa Dar unawezekana?

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Mwenye kujua ufugaji wa kuku za mayaye sehemu ya pwani hususani Dar es salaam kati ya kuku 10,000 hadi 50,000 tafadhari atuelekeze tuende tukajifunze kabla ya kuanza uwekezaji tusije tukapoteza mtaji bure.

Hivi kwa joto la pwani dar es salaam in pertucular commercial farming poultry ya layers kama kuku 10,000+ ina wezekana? Hili nilishawahi kulifanya katika mikoa ya wenye ubaridi wa kiasi na joto la kiasi, mwenye ujuzi tafadhari na uzoefu kwasbb tuna wekeza tune ya 120m capital gradually.
 
... nenda Kitunda kwa Wakurya wazalisha mayai, ... majibu yote utayapata!
Hao wanakushawishi uwachangie biashara yao ya kununua vifaranga ila hawakuambie hali halisi ya ufugaji wa dar na changamoto zake, kupata uhalisia lazima unane na mfugaji mwenyewe atakueleza anacho kutana nacho.
 
Back
Top Bottom