Ufugaji wa kuku

mpingomweusi

Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
59
Reaction score
13
Habarini za Leo?
Samahani naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu.Ni namna gani unaweza watenganisha kuku wa kienyeji wawili wanaotaga bandani lakini sehemu moja japokuwa tumewaandalia vyumba tofauti ktk banda moja?.
 
Kutaga pamoja haina shida waache waendelee kutaga pamoja muda wa kuatamia ukifika watenganishie mayai wataendelea kukalia bila shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…