K Kimunee Member Joined Aug 4, 2018 Posts 55 Reaction score 16 Jan 9, 2019 #1 Habar zenu wadau! Naomba uuliza ili nipate faida kubwa katika ufugaji huu je! Ni vema nianze na kuku wangapi? Msaada tafadhari. Na lenga sana kuku wa mayai Sent using Jamii Forums mobile app
Habar zenu wadau! Naomba uuliza ili nipate faida kubwa katika ufugaji huu je! Ni vema nianze na kuku wangapi? Msaada tafadhari. Na lenga sana kuku wa mayai Sent using Jamii Forums mobile app
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Jan 9, 2019 #2 Ngoja waje wafugaji,wako wengi humu..