Ufugaji wa kuku

Duuuh siku tatu no even a single reply, ingekuwa connection sasaaaa weeeee!!!
 
Hamjamboni wadau.

Naombeni msaada wa kitaalamu. Nina vifaranga wa kuku, wanasumbuliwa na tatizo la miguu. Wanakunja vidole vya miguu na kutembelea viwiko.

Nini ufumbuzi!
Pole sana, hilo tatizo linahusiana na lishe. Inaonekana kuku wamekosa calcium ya kutosha kwenye chakula unachowapa. Ili usiingie gharama kubwa nakushauri nenda kwa mtaalam wa mifugo aje kuwaona kuku wako kisha akupe utatuzi wa changamoto yako.
 
Pole sana, hilo tatizo linahusiana na lishe. Inaonekana kuku wamekosa calcium ya kutosha kwenye unachowapa. Ili usiingie gharama kubwa nakushauri nenda kwa mtaalam wa mifugo aje kuwaona kuku wako kisha akupe utatuzi wa changamoto yako.
KABISA Akanunue DCP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…