farajamilele
Member
- Feb 12, 2014
- 91
- 63
Habari wanajamvi,
Kuna mtu ameniomba nimuandalie andiko la mradi wa ufugaji wa kuku, nilikuwa naomba msaada wa kupata taarifa mbalimbali kama ifuatavyo; bei ya vifaranga wa nyama kuku wa kisasa, kiasi cha chakula kwa siku kwa kuku 500, gharama ya madawa mpaka muda wa kuuza, ukubwa wa banda kwa kuku 500, gharama za ujenzi wa banda. muandikaji yupo kijijini, muhitaji yuko Dar. kwa mwenye taarifa yeyote hapo juu.
Naomba anihabarishe