Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Fuga rotta weiler au pitpull alafu usimpe chakula siku mbili uone...mbwa hawezi mtafuna boss wake,ata kama kalewa labda ndo Ile unafuga mbwa ata kuwaona hawaoni kila kitu wanafanya wafanyakazi ,watakukingunge
Naóna wananchì sasa akili zinawarudi taratibu na kuanzisha viwanda mbwaAwamu hii mtafuga mpaka Fisi chezea vyuma! Maana jana tayar mmoja ameleta wazo la ufugaji wa Bundi.
duh hayo sio ma mbwa tena ni mashetani hayo HahahaFuga rotta weiler au pitpull alafu usimpe chakula siku mbili uone...
Hao ni mbwa wa aina mbili, wana nguvu sana na ni very agressive, sifa yao namba moja usiwachanganye na mbwa wengine, na ukifanya hivyo tu basi jua huyo mbwa mwingine utamkuta kafa siku inayofwata!!duh hayo sio ma mbwa tena ni mashetani hayo Hahaha
Kingunge ana habari ya mbwambwa hawezi mtafuna boss wake,ata kama kalewa labda ndo Ile unafuga mbwa ata kuwaona hawaoni kila kitu wanafanya wafanyakazi ,watakukingunge
Rottweiler na Pit bull halafu kuna Doberman au wale wa Siberia na Chow chow yaani hizi mbegu ni balaa ukifuga hawa hata watoto weka mbaliFuga rotta weiler au pitpull alafu usimpe chakula siku mbili uone...
Jamaa nnahisi sio mfugaji.. Maana mbwa unayemfuga yupo so loyal kwa mmiliki kuliko hata binadamu mwenzie.mbwa hawezi mtafuna boss wake,ata kama kalewa labda ndo Ile unafuga mbwa ata kuwaona hawaoni kila kitu wanafanya wafanyakazi ,watakukingunge
Ila Pitbull sinaga imani nao sana wako so aggressive mpaka baadhi ya states US wamewapiga ban mtu kuwafuga kabisa ila Rottweiler na GS hao wapo poaHao ni mbwa wa aina mbili, wana nguvu sana na ni very agressive, sifa yao namba moja usiwachanganye na mbwa wengine, na ukifanya hivyo tu basi jua huyo mbwa mwingine utamkuta kafa siku inayofwata!!
Mbwa anayefaa kufugwa bila masharti mengi ni german shefield, hawa wanatumika hata na polisi. Ni rahisi kuwafundisha tofauti na hao rotweiler na pitbull... Rottaweiler
View attachment 808761
Pitbull
View attachment 808763