Ufugaji wa Mbwa: Ndio habari ya mjini kwa sasa, wanalipa ile mbaya kabisa !

ili kulifuga uwe na Pesa ya kutosha ,chakula chake tu sio mchezo
 
yani ndo ukweli mtupu,mbwa wako wamekuzoea hawawezi kukufanya chochote ata kama wa njaa utajua tu
 
Au ndio mumemuchukua mbwa wa Yule waziri?????
 
nijuacho kuhusu mbwa....hatabkama ni mmiliki afu ukajiweka mbali naye...yeye anachojua bosi wake ni yule anayempa chakula...huyo ndo anaweza kumuamlisha na akamtii...but sio mtu mwengine asee
yani ndo ukweli mtupu,mbwa wako wamekuzoea hawawezi kukufanya chochote ata kama wa njaa utajua tu
 
Fuga rotta weiler au pitpull alafu usimpe chakula siku mbili uone...
Hawa mbwa hata kama una watoto wadogo hushauriwi kuwafuga unaweza kuta kamla mtoto ha ha ha ha ha ni watata mno akikutana na hivi vi mbwa koko anahakikisha kakiua ndio anamwachia
 
Kilimo cha uyoga kinalipa sana....

Ufugaji wa sungura unalipa sana....

Ufugaji wa kwale unalipa sana....

Fuga mbwa ule bata mjini....

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mbwa raha sana...wezi tunawaskia kwa jirani tu kila siku...Kero yao ni kelele zao ki ukweli Wanaboa Tena wanaboa haswaaaaaa.
 
Ukiwa na mbwa, huyo anakuwa sehemu ya familia yako kwa maana ya bajeti, bila kufanya hivyo unakaribisha matatizo nyumbani. Ila mbwa wanasaidia sana nyumbani, kwani swala la vibaka nk utakuwa unasikia tu kwa majirani.
True
 
Kilimo cha uyoga kinalipa sana....

Ufugaji wa sungura unalipa sana....

Ufugaji wa kwale unalipa sana....

Fuga mbwa ule bata mjini....

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Aina hizo za biashara hazifai kwa nchi maskini ni kwa vile ni luxury fulani same as asali,vinahitaji high purchasing power
 
Hichi kimbwa cha chini kimejaa kama kipiga chuma
 
Nimeleta Mbwa maskani ila ana week sasa hajabweka sijui nini shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…