Ufugaji wa Mbweha

Yaani mkuu unafananisha kufuga Sungura na Mbweha !???

Sisemi kwamba hauwezi ukafuga lakini its common sense kwamba kitu ambacho kinaweza kuwa hatari au nuisance kwa majirani lazima vitakuwa na vibali au hata majirani wakilalamika huenda ukakatazwa ila kama utakuwa in the middle of nowhere basi unaweza ukafanya ila hata hio lazima uonyeshe kwamba you can manage wild animals....

Pia kwa watu wapenda deals mtu anaweza akajipitisha hapo au mbuzi wake na kudai mbweha wako wamekula mfugo wake au mtoto wake ameumwa na Mbweha..., Unaweza ukajikuta upo mahakama kumalizana na Cases za Madai zaidi kuliko Sokoni ukitafuta wateja....,
 
watu wanafuga chui hadi simba itakuwa mbweha mzee wangu? Tatizo ni utaalamu wa kuwafuga kwani inatakiwa wafugwe wangali wadogo ili wajenga imani na binadamu na pia wazoee na kuwawetegemee binadamu kwa chakula na matunza bila haja ya kuwinda tena.
 
watu wanafuga chui hadi simba itakuwa mbweha mzee wangu? Tatizo ni utaalamu wa kuwafuga kwani inatakiwa wafugwe wangali wadogo ili wajenga imani na binadamu na pia wazoee na kuwawetegemee binadamu kwa chakula na matunza bila haja ya kuwinda tena.
Watu wanafuga ndio ila sio necessarily mimi au wewe (haujasikia story za Tiger kumjeruhi mfugaji wake) au wale Bulls Dogs kungata na kuua mtoto mchanga..., acha simba hata paka ukimkanyaga mkia kwa bahati mbaya huenda akakupiga ukucha....

Ndio maana nikasema kufuga wild animals sio kama kufuga sungura au kufuga ndevu kuna procedures na umakini unatakiwa ndio maana kuna permits / vibali na inabidi kuwe na uhakika wa kutokuingiliana na kuhatarisha public safety
 
Hayo niachie mimi!
 
Siku yatakuja kukugeuka utajuta na yatakula mifugo kama kuku nk
 
Siku yatakuja kukugeuka utajuta na yatakula mifugo kama kuku nk
Wala tatizo sio wakila mifugo yake bali wanakijiji wote wakimgeuza fursa kwa kumzingizia pale kila mifugo ikipotea, ikiliwa au wakila wenyewe kwa kumwambia ni yeye...

Sijasema aache au asifanye au kwamba hawezi kufanikiwa..., Hapana lakini hizo ni changamoto ambazo lazima aziweke kwenye upembuzi yakinifu
 
Sawa unaweza kuwasiliana na chama cha wafabiashara wa kusafirisha wanyama hai.
 
Uwezo wa kupambana na changamoto na kuzishinda ndiyo hufanya baadhi wafanikiwe na wengine washindwe,wale wanaozishinda changamoto ndiyo hufanikiwa.
 
Uwezo wa kupambana na changamoto na kuzishinda ndiyo hufanya baadhi wafanikiwe na wengine washindwe,wale wanaozishinda changamoto ndiyo hufanikiwa.
Hakuna kitu ambacho hakishindikani lakini lazima ujue shida hata kabla haujaitatua na kabla haujaingia atleast on paper ujue what you are getting at..., Failure to Plan is Planning to Fail....

Hapa hakuna mtu kasema hili suala haliwezekani bali tunaweka changamoto zote ili ziwekwe kwenye mizani kama hii kitu bado ni viable kwa mtu husika..., Not all battles are worth fighting for every individual....

Hakuna Biashara inayolipa kama Sex Trade (The oldest Profession in Humankind) lakini huenda its not for everyone...

Kwahio narudia hapa siongelei kama inawezekana au haiwezekani bali Pro and Cons
 
Ulifanikiwa kuanzisha mradi wako?? Kichuguu
 
Mm ninafuga chawa na kunguni mzee ko ukipata soko huko tushtuane maana mzigo umekuwa mkubwa sana tayar kwa biashara🤕🤕🤕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…