Ufugaji wa Nge (scorpion), kitu pekee kinachoweza kukufanya kuwa bilionea ndani ya muda mfupi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656

Galoni moja ya sumu ya nge inauzwa dola za kimarekani Mil 38 ambayo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania bilioni 75 (kumbuka hostel za Udsm ni BIL. 10).

Gunia mia za hawa wadudu zinatosha kabisa kupata galoni moja ya sumu.
OMBI.

kwa watu ambao mmechoka na umaskini kama mimi ebu tujaribuni kuangalia ni jinsi gani tunaweza kuwazalisha hawa wadudu kwa biashara (commercially) tuweze vuta huu mpunga.

SOKO lipo na ni la uhakika kabisa hamna longolongo sijui bosi kasafiri njoo kesho.

Karibuni tuyajenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…