Ufugaji wa Ng’ombe wa maziwa na nyama

Ufugaji wa Ng’ombe wa maziwa na nyama

Nchiyanguu

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2021
Posts
295
Reaction score
561
Habari za weekend wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima…

Niende kwenye mada, nina eneo la kutosha na lenye banda la kisasa maeneo ya CHANIKA-Dar nimeanza ufugaji wa Ng’ombe kwasasa yupo mmoja tu.

Nipo hapa kutafuta mtu ambae tunaweza fanya mradi kwa pamoja.

Karibu PM tujadili
 
Kwa sasa yupo ng'ombe mmoja tu unatafuta washirika. Hongera Mkuu.
 
Ongezea nyama Mkuu , ukubwa wa eneo upoje?
Je unanabanda na mshirika yeye alete ng'ombe, mshare gharama za ununuzi wa ng'ombe au ushirika wake upoje?
 
Ongezea nyama Mkuu , ukubwa wa eneo upoje?
Je unanabanda na mshirika yeye alete ng'ombe, mshare gharama za ununuzi wa ng'ombe au ushirika wake upoje?

Eneo ni la kutosha kwa ufigaji wa mjini mkuu vipimo halisi sina.

Naitaji mshirika ambae anaweza ongeza Ng’ombe
 
Back
Top Bottom