Habari za weekend wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima…
Niende kwenye mada, nina eneo la kutosha na lenye banda la kisasa maeneo ya CHANIKA-Dar nimeanza ufugaji wa Ng’ombe kwasasa yupo mmoja tu.
Nipo hapa kutafuta mtu ambae tunaweza fanya mradi kwa pamoja.
Karibu PM tujadili