Ufugaji wa paka

Hongera sanaa unanikumbusha course moja nilisoma chuo inaitwa non-conventional animals ambao watu hawafug ila eanalipa kama mjusi ,mamba ,mbuni n.k
kk umenielewa vzur sana watu wanaon ni vtu vya ajabu kumbe ni fursa kubwa sana
 
ttzo kila kitu unaona uchawi kuna Soko zuri tu la bundi natafuta jins ya kuwafuga maana sasa hv wanahela balaa na hyo pia unaweza kufikiri uchawi hpo sijkwambia about popo unaweza kuwa milionea
Mkuu nitakutafuta nijue zaidi juu ya ufugaji wa paka napenda sana hawa viumbe. Na hapo kwenye popo ni vipi tunaweza kutengeneza pesa huku kwetu popo wanashinda kwenye miti yangu mpaka kero.
 
Mkuu nitakutafuta nijue zaidi juu ya ufugaji wa paka napenda sana hawa viumbe. Na hapo kwenye popo ni vipi tunaweza kutengeneza pesa huku kwetu popo wanashinda kwenye miti yangu mpaka kero.
mkuu ntafurah sana ukijiunga nami ktk kupt hela ya halali mkuu popo sasa hv mmoja anafika dollar 100 hvyo chukulia unapopo mia hii ni fursa mkuu.
 
Naamini wanao nunua hao paka kwa wingi lengo lao sio kwa kufuga tu maana wanakuwa wameshakuwa wakubwa sasa je matumizi ya paka wengi hivo ni yapi au wanaliwa??
 
Are u serious or ur joking?
 
nyama,samaki,dagaa utakuwa unawanunulia ww
sometimes nawanunulia kwa kuwa wananiingizia hela but muda mwingne nawaacha wanaenda kujitfutia tu pia kuna hawa british short hair huwa nawapa extra care maana ni ghali sana na ngumu kuwapata
 
Reactions: MC7
Naamini wanao nunua hao paka kwa wingi lengo lao sio kwa kufuga tu maana wanakuwa wameshakuwa wakubwa sasa je matumizi ya paka wengi hivo ni yapi au wanaliwa??
yah paka huwa si wakufugwa tu huwa wanammbo meng mfno ngoz ya singapura inatengeneza vitu ving sana
 
Reactions: MC7
sio kila aina ya paka hutumika kwenye uchawi hpna mfano kuna green cats hawa wanauwezo na maajb makubwa kutambua kitu chchte kibaya hta wachawi wakiwaona hawa hawaji hyo nyumba
Mkuu ongezea nyama kidogo na pcha ya hao cats
 
mkuu ntafurah sana ukijiunga nami ktk kupt hela ya halali mkuu popo sasa hv mmoja anafika dollar 100 hvyo chukulia unapopo mia hii ni fursa mkuu.
Hyo ya popo imekaaje? Mana hk nliko kuna popo saana
 
Weka picha naunielekeze kwako asubu nije na dumu la maziwa
 
Hyo ya popo imekaaje? Mana hk nliko kuna popo saana
mkuu bdo nipo kweny kusoma mradi vzur natfuta wataalamu nijue reproduction,foods and km kun madawa ,hivyo kuwa na subra mwezi wa saba kila kitu kitkuwa safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…