Ufugaji wa samaki aina ya African Turquoise Killifish ukoje?

Ufugaji wa samaki aina ya African Turquoise Killifish ukoje?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari wakuu.

Naomba kwa mwenye ujuzi jinsi ya kufuga samaki niiyemtaja anipe mwongozo. Pia Kama Kuna mwenye vifaranga vyake tafadhali.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Ngoja tusindikize na Picha za African Turquoise killifish.
images (3).jpeg
 
Hivi hawa ni kwa chakula au ni urembo tu?.
 
Back
Top Bottom