Aron Mvembezi Member Joined Dec 28, 2022 Posts 10 Reaction score 9 Aug 16, 2023 #1 Nina eneo kubwa bwawa kubwa mkoani Tabora natafuta mtu wa kushirikiana naye tufunge samaki Mawasiliano 0693214177
Nina eneo kubwa bwawa kubwa mkoani Tabora natafuta mtu wa kushirikiana naye tufunge samaki Mawasiliano 0693214177
Igombe fisherman JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 2,178 Reaction score 3,865 Aug 18, 2023 #2 Mimi niajiri tu niwe nawalinda na kuwahudumia ila sijui chochote kuhusu ufugaji wa samaki. So utanifundisha
Mimi niajiri tu niwe nawalinda na kuwahudumia ila sijui chochote kuhusu ufugaji wa samaki. So utanifundisha