Ufugaji wa Senene: Ningependa kukuzwa, aina, uzazi wa Senene na kama wanaweza fugwa

Ufugaji wa Senene: Ningependa kukuzwa, aina, uzazi wa Senene na kama wanaweza fugwa

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
2,820
Reaction score
2,758
Wakuu,

Mada yahusika, katika tembea tembea yangu hasa mkoa wa Kagera nimeona faida za kiuchumi za hawa wadudu.

Wabaya wana wadhamini hawa wadudu kwa lishe na kimila, hivyo kwa kuwa hupatikana mara mbili kwa mwaka je kama ufugaji wa kuku au mbuzi,senene hawawezi kufugika na wanaleta tija?

Karibuni
 
Bro watu wanafuga majini au mapepo washinde kifuga hao balale? Fuatilia lazima watakuwepo wadau wanafanya hiyo business
 
Back
Top Bottom