Ufugaji wa sungura ni dili ukiachana na longolongo za wababaishaji

hu
huo mkojo unazalisha umeme?
 
Hana kwato, basi hata punda muislamu ale maana ana kwato moja.Mnyama wa kuliwa anatakiwa awe na kwato kama ya ngo'mbe au mbuzi
Elimu elimu elimu, rudi kasome kaka, japo huu uzi hauna mahusiano ma habari za dini lakini namwomba samahani mleta uzi kwa kuingiza vionjo vyenye uhusiano na dini.
Mkuu Tangantika, hebu nambie kifungu gani katika kitabu gani kimemzuia muislam asile Sungura na mr Kaambali?, maana nisolijua mimi yawezekana wenzangu mwalijua nifahamisheni.
 
Kwa nini huli nguruwe kama mwislamu ? Ukinjibu hilo ntakujibu swali lako maana sababu za kutomla nguruwe zinataka kufanana na za sungura.
 
JF Sihami Maana kila siku najifunza kitu kipya🙏🙏🙏
 
Kuna mtu anasema alijikuta amekua master wa kuchinja, kuchuna na kula sungura baada ya soko kukaa tenge.
Kuna mmoja huko Kenya alichinja mpaka akachoka akaamua kwenda kuwatupa porini, lakini kila akiondoka wanamfuata.
Vitu vingine tutafakari jamani Hilo soko linaongelewa liko wapi? Kwa nchi za wenzetu Huko Sawa lakini bongo mtihani.
 
Niko Arusha, natafuta sungura dume na jike kutoka kwa wauzaji tofauti.Breed ninayitafuta ni California white au new Zealand white.
 
Ni wazo zuri. Kinachouzwa inamaanisha kuwa kimezalishwa cha kutosha. Kwa maana na mapupu, utumbo etc.

Swali? Unao sungura wa kutosha? Hizo supu na nyama za sungura zikikubalika utaweza kukidhi soko?
Jibu la hilo swali ni kutokana na namna umejipanga kuingia kwenye soko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…