Hapa fresh uzi wako umekidhi vigezo vya kubakiPicha hizo hapo
hivi unajua manispaa ya ilala wanakiherehere sana cha kuweka jiji safi kwa kuweka maaskari wa mażingira kariakoo posta na maeneo mengi ya manispaa hiyo lakin hizo takataka kama hawazioniJamaa ananunua ndege kujenga madaraja na reli anashindwa kuokota taka