Mkuu, fundi alichanganya gypsum powder na rangi ya maji. Sijasema maji na gypsum powder pekee!Shida ni fundi wako aliskim na vibaya, skimming ya gypsum unachanganya na rangi ya maji na sio maji. Mafundi wengine huchanganya na maji ndo hapo hujichanganya