Ufundi simu: Karibu tujadili UFI BOX

Ufundi simu: Karibu tujadili UFI BOX

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,325
Wakuu nilikuja humu kuomba ushauri kuhusu box gani nzuri ya kununua sikupata majibu katika kuulizia kwa mafundi wenzangu wakanishauri UFI box itnaweza nifaa kwa bajeti yangu na nikiangalia youtube naona kwenye swala la kurestore oppo na kuchomoa frp inafanya kazi vyema nilikua nina omba mawazo yenu hususani kwa faida ya ili box na changamoto zake pia na kazi zingine za hili boksi

download.jpg
 
Kama unanunua kwa maana ya jtag chukua z3x easy jtag.

Kama unanunua kwa maana ya android tool ishi na cm2 na nck pro.

Usije ukanunua kitu mwishoe ukaanza kujuta. Huu ni ushauri wangu unaweza ukauchukua au ukaupotezea.
 
Wakuu nilikuja humu kuomba ushauri kuhusu box gani nzuri ya kununua sikupata majibu katika kuulizia kwa mafundi wenzangu wakanishauri UFI box itnaweza nifaa kwa bajeti yangu na nikiangalia youtube naona kwenye swala la kurestore oppo na kuchomoa frp inafanya kazi vyema nilikua nina omba mawazo yenu hususani kwa faida ya ili box na changamoto zake

Kama unanunua kwa maana ya jtag chukua z3x easy jtag.

Kama unanunua kwa maana ya android tool ishi na cm2 na nck pro.

Usije ukanunua kitu mwishoe ukaanza kujuta. Huu ni ushauri wangu unaweza ukauchukua au ukaupotezea.
mkuu hiyo inatatizo gani mkuu na hizo box ulizotaja gharama zak zikoje
 
Gharama inategemeana na mahali unakonunua, angalia bei gsmserver.com na lingalinisha na bei za AliExpress faida ya gsmserver mzingo ndani ya week 2 unakuwa nao mkononi.
 
chief, ninaomba nije PM kwako nikuulize kitu.
 
Gharama inategemeana na mahali unakonunua, angalia bei gsmserver.com na lingalinisha na bei za AliExpress faida ya gsmserver mzingo ndani ya week 2 unakuwa nao mkononi.
tatizo na hiyo ufi ni nini mkuu
 
Mkuu naomba nifundishe ufundi, hata kulipia ntalipia
 
Wakuu nilikuja humu kuomba ushauri kuhusu box gani nzuri ya kununua sikupata majibu katika kuulizia kwa mafundi wenzangu wakanishauri UFI box itnaweza nifaa kwa bajeti yangu na nikiangalia youtube naona kwenye swala la kurestore oppo na kuchomoa frp inafanya kazi vyema nilikua nina omba mawazo yenu hususani kwa faida ya ili box na changamoto zake pia na kazi zingine za hili boksi

View attachment 2115579
 
Mkuu ungesema location ulipo na simu unazokutana nazo na changamoto zilizopo..njoo tujadili kwa pamoja
 
Ufi box linahitaji fundi sie anayejifunza unaweza kununua ukabaki unaliangalia bila kilifanyia kazi
 
UFI BOX kwa mbobezi halina cha maana sana, wale wameuza box zao kwa promo za oppo tu, katoa solution za security kwa nokia na oppo kwa credit ila hakuna mtu hata mmoja anajua namna zinavyotumika na hajatoa maelezo yoyote. Tools nyingi ambazo hazipo gsmhosting ni vimeo tu, kwenye logs inakwambia done halafu hakuna kilichobadilika.
 
Mkuu ungesema location ulipo na simu unazokutana nazo na changamoto zilizopo..njoo tujadili kwa pamoja
Kwenye maswala ya jtag hakuna cha aina ya simu pale tunadili na ISP, EMMC, EMCP, UFS na NAND.
 
Back
Top Bottom