Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Wakuu nilikuja humu kuomba ushauri kuhusu box gani nzuri ya kununua sikupata majibu katika kuulizia kwa mafundi wenzangu wakanishauri UFI box itnaweza nifaa kwa bajeti yangu na nikiangalia youtube naona kwenye swala la kurestore oppo na kuchomoa frp inafanya kazi vyema nilikua nina omba mawazo yenu hususani kwa faida ya ili box na changamoto zake
mkuu hiyo inatatizo gani mkuu na hizo box ulizotaja gharama zak zikojeKama unanunua kwa maana ya jtag chukua z3x easy jtag.
Kama unanunua kwa maana ya android tool ishi na cm2 na nck pro.
Usije ukanunua kitu mwishoe ukaanza kujuta. Huu ni ushauri wangu unaweza ukauchukua au ukaupotezea.
Gharama inategemeana na mahali unakonunua, angalia bei gsmserver.com na lingalinisha na bei za AliExpress faida ya gsmserver mzingo ndani ya week 2 unakuwa nao mkononi.mkuu hiyo inatatizo gani mkuu na hizo box ulizotaja gharama zak zikoje
tatizo na hiyo ufi ni nini mkuuGharama inategemeana na mahali unakonunua, angalia bei gsmserver.com na lingalinisha na bei za AliExpress faida ya gsmserver mzingo ndani ya week 2 unakuwa nao mkononi.
Fuatilia mwenyewe kwenye official forum yao na kwinginekotatizo na hiyo ufi ni nini mkuu
Wakuu nilikuja humu kuomba ushauri kuhusu box gani nzuri ya kununua sikupata majibu katika kuulizia kwa mafundi wenzangu wakanishauri UFI box itnaweza nifaa kwa bajeti yangu na nikiangalia youtube naona kwenye swala la kurestore oppo na kuchomoa frp inafanya kazi vyema nilikua nina omba mawazo yenu hususani kwa faida ya ili box na changamoto zake pia na kazi zingine za hili boksi
View attachment 2115579
Quote huyo unayetaka akufundishe au mtag.Mkuu naomba nifundishe ufundi, hata kulipia ntalipia
UFI BOX kwa mbobezi halina cha maana sana, wale wameuza box zao kwa promo za oppo tu, katoa solution za security kwa nokia na oppo kwa credit ila hakuna mtu hata mmoja anajua namna zinavyotumika na hajatoa maelezo yoyote. Tools nyingi ambazo hazipo gsmhosting ni vimeo tu, kwenye logs inakwambia done halafu hakuna kilichobadilika.Ufi box linahitaji fundi sie anayejifunza unaweza kununua ukabaki unaliangalia bila kilifanyia kazi
Kwenye maswala ya jtag hakuna cha aina ya simu pale tunadili na ISP, EMMC, EMCP, UFS na NAND.Mkuu ungesema location ulipo na simu unazokutana nazo na changamoto zilizopo..njoo tujadili kwa pamoja
Naanza na wewe mkuu kama hutojaliQuote huyo unayetaka akufundishe au mtag.
KaribuNaanza na wewe mkuu kama hutojali