Ufundi unaoweza kulipa

Ufundi unaoweza kulipa

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Habari za majukumu wakuu.

Naomba tujuzane kuhusu ufundi unaoweza kuusomea na ukakulipa vzr kwa hapa Dar kwa miaka hii ya sasa.

Natanguliza shukrani na karibuni kwa mawazo mbali mbali
 
1.Ufundi simu
3.ufundi umeme
4.ufundi wa gypsum/tiles
5.ufundi rangi za nyumba
6.ufundi cherehani/kudarizi
7.ufundi umeme wa magari
8.ufundi computer/laptop
9.ufundi wa mapambo ya ndani ya nyumba.
10.ufundi bomba/masink
11.ufundi seremala
13.ufundi kinyozi
14.ufundi ususi
15.ufundi wa kuziba pancha
17.ufundi magari
18.ufundi wa kuzibua vyoo.
19.ufundi wa kupika chakula kitamu
20.ufundi wa photocopy machine/printer
21.ufundi meli
22.ufundi ndege
23.ufundi treni
24.ufundi viatu
25.ufundi wa kuchomelea vyuma.
Chagua kimoja ukomae nacho mpka utoke fuvu.
 
Ufundi ambao naona upatikanaji wake wa kazi sio kazi sana kama ufundi mwingine ni ufundi matope a.k.a ufundi uashi lakini jaribu kujiweka smart uwe msafi usiwe mchafu kama hawa mafundi tulionao mtaani
 
Back
Top Bottom