Ufundi wa chama na Luiz Miquissoin

Happycuit

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
646
Reaction score
542
Hawa jamaa wapo vizuri sana aiseeh japo hawapandi mipira, watu wanagalagazwa vibaya.

Your browser is not able to display this video.
 
Wachezaji wanaotokea kusini mwa jangwa la Sahara toka wadogo wanakuwa na dream ya kucheza ligi kuu Afrika ya kusini...Luis kakaa benchi mpaka kakimbia bondeni na huyo Chama hata trial hajawahi kufanya...wa kawaida sana sio jipya
Una roho ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe ni hoho kabsa! Mwili mkuuubwa content kisoda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Luis Miquissoni bado tumpe muda au inatosha....????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…