Ufundi wa injini ya gari

Ufundi wa injini ya gari

Denis Albert

New Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Jamani naomba kuuliza hapa.
Hivi nini kinasababisha Gari kukausha Oil kwenye injini na wakati Injini haina demeji yoyote kusema labda inavujisha sehemu? Naomba kama kuna mwenye jibu anisaidie.
Car-Lubricants.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Fredy%2020180911_213627.jpeg
    Fredy%2020180911_213627.jpeg
    23.1 KB · Views: 51
Rudi form 3 Soma Topic ya heat kwenye physics

Simply Joto linakausha
 
Uchakavu wa injini na hasa engine valve seals na piston rings husababisha mafuta kuvuja kwa ndani na kuingia ndani ya injini na kuchanganyika na petrol au dissel, matokeo yake ni kuunguzwa na kutoa moshi usio wa kawaida. Kwa sababu hii ukiweka oil leo, baada ya kufanya safari yoyote utakuta oil imepungua.
 
Back
Top Bottom