Denis Albert
New Member
- Feb 17, 2019
- 1
- 0
Jamani naomba kuuliza hapa.
Hivi nini kinasababisha Gari kukausha Oil kwenye injini na wakati Injini haina demeji yoyote kusema labda inavujisha sehemu? Naomba kama kuna mwenye jibu anisaidie.View attachment 1025776
Sent using Jamii Forums mobile app