Mimi napenda kujifnza ufndi wa pikiki, lakini sijui ni aina gani ya pikiki ukijua kuztengeza huweza kuleta kipato zaidi na kujifnza huko huweza kuchukua muda gani kwa mwenye uelewa?
ukiweza kuwa fundi bora na muaminifu wa pikipiki za Ulaya na Marekani utapiga hela ndefu:
Aprilia
Benelli
BMW
Ducati
KTM
Triumph
MV-Agusta
Harley-Davidson