eyetyna
Senior Member
- Jun 24, 2011
- 148
- 17
Kwa ufungaji viremba almaarufu kama Gele, Karibuni sana kwa anayetaka kujifunza, natoa mafunzo hayo, na anayetaka kufungwa popote ndani ya Dar nitakufuata kukufunga.
Kufunga Gele Kitaambaa chako:25,000
Kufanyiwa make up Simple:30,000
Make up ya bibi harusi:160,000
Make up kwa kila Maid's: 50,000
Kujifunza kufunga kwa siku 2: 200,000
Mawasiliano:0718 112 102
Saluni iko Kimara Korongwe.
Lakini huduma inatembea, unaweza fuatwa popote.
Karibu sana.