Ufungaji wa Tie

Ufungaji wa Tie

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1585025713688.png

Wale waliosoma shule zenye Cambridge syllabus kufunga tie ilikuwa sehemu ya maisha ya shule.

Sisi wa St Kayumba Kwamtogole, tumejifunza ukubwani. Wengine wanalipa watu ili wafungiwe tie,
 
Tie Ina Changamoto Zake
Kuna Wanaojua Kufunga Ikiwa Shingoni Wanaizunguusha Mpaka Inafunga 😁😂😄😃🤣🤣🤣

Nilijaribu Nikashindwa
Ila Naweza Kufunga Tie Kabla Hujaivaa Shingoni
Watu Wengi Sana Wanavaa Tie Lakini Kufunga Hawajui 🤨😑😑😶😶😐🤔
 
Wale waliosoma shule zenye Cambridge syllabus kufunga tie ilikuwa sehemu ya maisha ya shule.

Sisi wa St Kayumba Kwamtogole, tumejifunza ukubwani. Wengine wanalipa watu ili wafungiwe tie,
😂😂Umenikumbusha mbali sanaa mkuu.

Wakati naanza kidato cha kwanza shuleni tulikuwa tunafunga Tie, kwangu mimi ilikuwa shughuli ngumu sanaa, basi kuna mzee mmoja alikuwa anatusaidia kwa shughuli za ulinzi home, alikuwa kila asubuhi kabla hajatoka lazima anisaidie kufunga Tie.

Sasa siku hiyo nimechelewa kuamka na muda umeenda kutoka nje Mzee kashaondoka nikaanza kuwaza nafanyaje na ukizingatia kwenda bila kufunga Tie shule ilikuwa kosa kubwa sanaa, kwa akili za kitoto machozi yakaanza kunilenga 😅
Naenda shule huku nakimbia huku nazungusha zungusha ile Tie, mara boom nikaona imekaa mkao 😂, tokea siku hiyo nikawa nafunga mwenyewe Tie.
 
View attachment 1397633

Wale waliosoma shule zenye Cambridge syllabus kufunga tie ilikuwa sehemu ya maisha ya shule.

Sisi wa St Kayumba Kwamtogole, tumejifunza ukubwani. Wengine wanalipa watu ili wafungiwe tie,
Kuna reality show moja nilikuwa naagalia...

Ni ya couples.... shindano lilikuwa wadada kuwafungia wanaume tie....

Waliweza wawili tu kati ya 20.
 
Mimi najifungia mwenyewe....

Hawa mawifi zenu sio wa kuwaamini anaifungia shingoni na jana aliona meseji ya mchepuko niliousave Juma Lokole..mwisho aishie kuivuta aninyonge.
😂😂😂😂😂😂
 
View attachment 1397633

Wale waliosoma shule zenye Cambridge syllabus kufunga tie ilikuwa sehemu ya maisha ya shule.

Sisi wa St Kayumba Kwamtogole, tumejifunza ukubwani. Wengine wanalipa watu ili wafungiwe tie,
Mkuu hii in American style wengi ukifunga hivi wanahis umekosea kwan wamezoea ile British style.
 
Bro ila iko complicated ... inataka uwe na muda wa kutosha sio kama American style..tit for tat business..
 
Hii inanikumbusha Advance, mtu unafunga tai inafika mpaka usawa wa bacon ya mkanda.
Usipovaa tai ni kosa kubwa sana bora usionekane viunga vya shule
 
"Kantai is a Maasai girl,
Kantai can tie a tie,
If Kantai can tie a tie,
why don't you tie a tie?"

Hivi huu ushubwada bado upo mashuleni?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom