Ufungaji wa Tie

Tie Ina Changamoto Zake
Kuna Wanaojua Kufunga Ikiwa Shingoni Wanaizunguusha Mpaka Inafunga πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£


Nilijaribu Nikashindwa
Ila Naweza Kufunga Tie Kabla Hujaivaa Shingoni
Watu Wengi Sana Wanavaa Tie Lakini Kufunga Hawajui πŸ€¨πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜πŸ€”
 
Wale waliosoma shule zenye Cambridge syllabus kufunga tie ilikuwa sehemu ya maisha ya shule.

Sisi wa St Kayumba Kwamtogole, tumejifunza ukubwani. Wengine wanalipa watu ili wafungiwe tie,
πŸ˜‚πŸ˜‚Umenikumbusha mbali sanaa mkuu.

Wakati naanza kidato cha kwanza shuleni tulikuwa tunafunga Tie, kwangu mimi ilikuwa shughuli ngumu sanaa, basi kuna mzee mmoja alikuwa anatusaidia kwa shughuli za ulinzi home, alikuwa kila asubuhi kabla hajatoka lazima anisaidie kufunga Tie.

Sasa siku hiyo nimechelewa kuamka na muda umeenda kutoka nje Mzee kashaondoka nikaanza kuwaza nafanyaje na ukizingatia kwenda bila kufunga Tie shule ilikuwa kosa kubwa sanaa, kwa akili za kitoto machozi yakaanza kunilenga πŸ˜…
Naenda shule huku nakimbia huku nazungusha zungusha ile Tie, mara boom nikaona imekaa mkao πŸ˜‚, tokea siku hiyo nikawa nafunga mwenyewe Tie.
 
View attachment 1397633

Wale waliosoma shule zenye Cambridge syllabus kufunga tie ilikuwa sehemu ya maisha ya shule.

Sisi wa St Kayumba Kwamtogole, tumejifunza ukubwani. Wengine wanalipa watu ili wafungiwe tie,
Kuna reality show moja nilikuwa naagalia...

Ni ya couples.... shindano lilikuwa wadada kuwafungia wanaume tie....

Waliweza wawili tu kati ya 20.
 
Mimi najifungia mwenyewe....

Hawa mawifi zenu sio wa kuwaamini anaifungia shingoni na jana aliona meseji ya mchepuko niliousave Juma Lokole..mwisho aishie kuivuta aninyonge.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
View attachment 1397633

Wale waliosoma shule zenye Cambridge syllabus kufunga tie ilikuwa sehemu ya maisha ya shule.

Sisi wa St Kayumba Kwamtogole, tumejifunza ukubwani. Wengine wanalipa watu ili wafungiwe tie,
Mkuu hii in American style wengi ukifunga hivi wanahis umekosea kwan wamezoea ile British style.
 
Bro ila iko complicated ... inataka uwe na muda wa kutosha sio kama American style..tit for tat business..
 
Hii inanikumbusha Advance, mtu unafunga tai inafika mpaka usawa wa bacon ya mkanda.
Usipovaa tai ni kosa kubwa sana bora usionekane viunga vya shule
 
"Kantai is a Maasai girl,
Kantai can tie a tie,
If Kantai can tie a tie,
why don't you tie a tie?"

Hivi huu ushubwada bado upo mashuleni?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…