Ufunguo unashindwa kuwasha injini ya gari

Walikuja na kipimio chao, wa umeme, pamoja na wa injini; makundi kama matatu, wote hawakufanikiwa. wakachukua rimoti, control panel, na funguo kwenda kupima, lakini hawajafanikiwa.
Badirisha starter mzee mimi yalishanikuta kwenye crown Athletic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…