Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
To me it doesn't. . .
Wote (mume na ndoa yake pamoja na watoto) wanastahili kupewa kipaumbele. Au mtu aokoe ndoa huku akijidistance na watoto. . . sioni raha yake.
hivi upendo wa watoto ni sawa na wa mume?
Kwa maoni zaidi tembelea hii thread tulijadili hili swala kwa kirefu https://www.jamiiforums.com/mahusia...6-mdahalo-kids-vs-spouses-26.html#post2705423
Majibu ya wanajamvi wengine kwenye link
Emilia sio tu chakula cha baba anapika mama, hata akipika dada baba atapikiwa wali nyama wakati watoto wanakula ugali maharage. Au unakuta asubuhi baba anapata chai nzito ya maziwa na mayai pembeni wakati watoto wanakula kiporo na chai ya rangi.Huo ni mfumo dume na mapenzi ya hofu kwa wanawake na kukosa kujiamini.
Na wapo wanawake wa hivyo nimeshuhudia, una kuta anamtake care mume tu watoto hata hawakumbuki.
Unakuta chakula cha baba anapika peke yake special,
nguo za baba anazinyosha ana panga vizuri kabatini,watoto sasa nguo zinarundikwa kwenye boksi haijulikani chafu wala safi.
Matokeo mtoto akiwa mtu mzima na yeye anachukua time zake hana time na mama wala baba,mbaya sana.
wewe mtoto noumer unamfundisha mama wa hiari?
Haya bwana, nimeamini elimu haina mwisho.
Emilia sio tu chakula cha baba anapika mama, hata akipika dada baba atapikiwa wali nyama wakati watoto wanakula ugali maharage. Au unakuta asubuhi baba anapata chai nzito ya maziwa na mayai pembeni wakati watoto wanakula kiporo na chai ya rangi.
Na mie nimeshudia, sijui hawa wamama hua wanafikiria nini.
Mnakosea sasa! Vitabu vya dini, samahani kwa nitakaemkwaza, vinasema 'mwanaume ampende mkewe' tena kwa 'akili'. Mwanamke anapaswa kutii tu yale yanayofaa kutii. Watoto wanapaswa kulindwa na kufundishwa na wazazi wote. Sasa wanawake siku hizi tunajipa jukumu la 'kupenda' tena hadi kutunza familia. Ndo maana vilio havituishi. Mi nimeamua nitulie tuliii nipendwe tu
NB: msiniwakie sana, nnakuwaga na moyo,lol
wewe mtoto noumer unamfundisha mama wa hiari?
Haya bwana, nimeamini elimu haina mwisho.
Huu mbona ni upuuzi wa mwaka 47!
Kwanza mtu mzima haitaji kula kiviiile maana keshakua..anachohitaji ni ukarabati wa afya na kujiweka hai tu.
Watoto ndio wanahitaji kula zaidi tena vyakula kama maziwa, nyama etc.
Kumlea baba kama mtoto ni uzembe.Halafu jamani, kwani upendo ni chakula?