Sasa kama mama yeye hajui kupika atamfundisha nini dada? Na kama hilo wazo la kumpeleka kozi hanalo mume ale wapi kama sio nje ya nyumbani?Asilimia kubwa ya wadada wanakuja hawajuhi kupika kwa kuwa wametokea familia masikini hivyo chakula anachojua ni cha kuchemsha tu.
Unachopaswa kufanya kama wife ni kumpiga shule huyo dada basi, baada ya muda anakuwa na yeye mwalimu.
Nina dada yangu yeye ma house girl wake anawapeleka kozi kabisa ya kupika na anasema itawasaidia hata mkiacha kazi.
Sasa kama mama yeye hajui kupika atamfundisha nini dada? Na kama hilo wazo la kumpeleka kozi hanalo mume ale wapi kama sio nje ya nyumbani?
Hapa Lizy hatuongelei mama asojua kupika, ila asiyepika kila siku kwa mumewe.
Hivi unaamini kweli kuna wanawake wengi kiivyo wasojua kupika???
How long does it take kwa mtu kujifunza kupika mpaka kuwe kuna wanawake hawajuhi kupika? Au inahitaji akili kiasi gai kujua kupika? Watakuwa hawataki tu.
Sasa Shosti,
wengi wa hao wanaume hawanaga mapenzi..utasbiri wee upendwe..wapi!
Ila wangejua kuwa wakipenda wake zao automatically wake watawatii ile mbaya.
Upuuzi mwingine unaoniboa sana lolHapana upendo si chakula ila ni mfano tu wa jinsi mke alivyoweka concetration kwa mwanaume na kusahau watoto, we angalia kwenye mafundisho ya ndoa including kitchen party ni mara ngapi mwanamke anapata mafundisho ya kulea watoto hakuna ni kumfurahisha mwanaume tu.
Upuuzi mwingine unaoniboa sana lol
siku ya harusi yangu..sitaki cha kitchen party wala chicken party mashosti jamani![/
COLOR]
Upuuzi mwingine unaoniboa sana lol
siku ya harusi yangu..sitaki cha kitchen party wala chicken party mashosti jamani!
Kuna wanaumee wengine hata uwalambe
Miguu hawana heshima..
Bora nimtunze mwanangu . Anaenifanya ni
Tabasamu kila sekunde nimuonapo . Anaenifanya nifanye kazi kwa juhudi . Na alienifanya niwe very strong . Na anaefanya
Maisha yaonekane marahisi. Na mwenyewe upendo wa kweli ..
The worst deffensive statement EVERRR.Sio lazima nionje sumu kujua kwamba inaweza kuniua.
Biblia inakataza kabisaa kulalamika. Tena inaongelea juu ya ndugu akikosea muonye kwa upendo, ikishindikana muitie wazee. Na pale mwenzio yuko weak u can be strong, bila kuzidisha. Wanawake wa siku hizi tunajivalisha sarawili,dunia yote kama tumeibeba mabegani!lol, leo nimekunywa madhiwa akili sijui imekaaje hehehe
Hunijui sikujui
Ha ha ha
NK inabidi tuwaweke wote kwenye kundi moja kwasababu wote wanaweza kusababisha chakula cha nyumbani kisiwe kinavutia walaji.
Kuhusu wengi ,siwezi kukutajia namba kiujumla ila nawajua wengi. Especially waliopo kwenye late 20s maana hicho kizazi na kinachofuata kinachukulia kazi za nyumbani kama ushamba fulani hivi na wamezoea kufanyiwa kila kitu. Alafu nadhani wapo wasiojua kweli, yani hata wajitahidi vipi.Kuna msichana yeye alikua akija kwangu wakati wa kupika namwambia asijali apumzike tu maana najua ni bomu jikoni.
Kuna wanaumee wengine hata uwalambe
Miguu hawana heshima..
Bora nimtunze mwanangu . Anaenifanya ni
Tabasamu kila sekunde nimuonapo . Anaenifanya nifanye kazi kwa juhudi . Na alienifanya niwe very strong . Na anaefanya
Maisha yaonekane marahisi. Na mwenyewe upendo wa kweli ..
Kumbe??? Hahahahaaaa...........asavali umeniambia mapema!!! Nikija kwako sipiki ng'ooo!