Ufunguzi Kombe la Dunia TBC wako mubashara ni Katika kutekeleza Ilani ya CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ilani ya CCM inaagiza watanzania popote walipo wapate mawasiliano ya ndani na nje ya nchi kwa gharama nafuu kwa kadri inavyowezekana

TBC wanawaletea mubashara fainali za FIFA World Cup

Ikumbukwe Qatar Wana mchezaji mwenye asili ya Tanzania mh Akram Afif ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Kocha mchezaji wa Simba SC mh Hassan Afif

Kazi Iendelee
 
Hizo finally tunaangalia bila umeme? Kaa Rudia kusoma ulichoandika na kisha edit!
 
KBC(Kenya) na MBC(Malawi) wanaonesha ila Azam wamenyofoa chaneli hizo kwa sababu ya maudhui yasiyoruhusiwa nchini! Azam wajue kuwa chaneli husika tumezilipia na wanachokifanya ni wizi na utapeli kwani wao hutuambia tulipie chaneli zisizokuwa ndani ya kifurushi kwa ajili ya kuangalia mechi.
 
Upumbavu tu.... Hii 10fps ndio kitu TBC wanakaa wanapiga kelele?
 

Ni kweli ni utekelezaji wa ilani ya CCM, maana mambo mengi ya CCM ni ya kiwango cha chini. Kwa jinsi mechi inanavyoonekana vibaya ni aibu hata kutazama huo uchafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…